title : RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017 . Wengine ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi na Utawala bora)Mhe. Angela Kairuki, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dr. Laurean Ndumbaro, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola, na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa TAKUKURU Bw. Alex Mfungo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Makao Makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kwa risala nzuri Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola alipowatembelea makao makuu yao Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola alipowatembelea makao makuu yao Upanga jijini Dar es salaam leo Agosti 28, 2017. Wengine ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora) Mhe. Angela Kairuki na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro. Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dkt-magufuli-atembelea-makao-makuu.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA TAKUKURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment