title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro aliyeongozana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017 akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe Patricia Scotland Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya leo Agosti 10, 2017 akiwa kaongozana na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro.
Picha na Ikulu
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/rais-dkt-magufuli-akutana-na-katibu.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA MHE PATRICIA SCOTLAND IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII"
Post a Comment