title : PICHA:CHINA WAPO KWENYE MAJARIBIO YA TRENI YA ANGA
kiungo : PICHA:CHINA WAPO KWENYE MAJARIBIO YA TRENI YA ANGA
PICHA:CHINA WAPO KWENYE MAJARIBIO YA TRENI YA ANGA
TRENI YA ANGA: Wakati Tanzania ikitarajia kuanza ujenzi wa reli ya kisasa (standard gauge), nchi ya China inafanya majaribio ya treni ya anga ambayo inatajwa kuwa na kasi zaidi nchini humo.
Uzinduzi wa treni hiyo ya kipekee ambayo inaning’inia angani, unafanyika Mashariki mwa jimbo la Shandong na inakwenda kwa kasi ya kilometa 70 kwa saa.
Mandhari ya ndani ya treni hiyo inaelezwa kuwa ni ya kuvutia, na ina uwezo wa kubeba hadi watu 510 kwa wakatiu mmoja.
Mandhari ya ndani ya treni hiyo inaelezwa kuwa ni ya kuvutia, na ina uwezo wa kubeba hadi watu 510 kwa wakatiu mmoja.
Hivyo makala PICHA:CHINA WAPO KWENYE MAJARIBIO YA TRENI YA ANGA
yaani makala yote PICHA:CHINA WAPO KWENYE MAJARIBIO YA TRENI YA ANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala PICHA:CHINA WAPO KWENYE MAJARIBIO YA TRENI YA ANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/pichachina-wapo-kwenye-majaribio-ya.html
0 Response to "PICHA:CHINA WAPO KWENYE MAJARIBIO YA TRENI YA ANGA"
Post a Comment