title : MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WADHAMINI
kiungo : MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WADHAMINI
MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WADHAMINI
Mwenyekiti wa Mpira wa kikapu mkoa wa Dar es Salaam Bw. Okare Emesi (kulia) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu udhamini waliopata toka kampuni ya Startimes na Sibuka mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa chama hicho Bw. Peter Mpangala na kushoto ni Afisa Mahusiano toka Startimes Bw. Samwel Gisayi.
Mkurugenzi wa Masoko wa chama hicho Bw. Peter Mpangala (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu udhamini waliopata toka kampuni ya Startimes na Sibuka mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Okare Emesi na kushoto ni Afisa Mahusiano toka Startimes Bw. Samwel Gisayi.
Picha Eliphace Marwa - Maelezo
Hivyo makala MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WADHAMINI
yaani makala yote MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WADHAMINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WADHAMINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mpira-wa-kikapu-mkoa-wa-dar-es-salaam.html
0 Response to "MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA WADHAMINI"
Post a Comment