title : MKEMIA MKUU WA SERIKALI ATOA VIGEZO 6 VYA UINGIZAJI WA KEMIKALI NCHINI
kiungo : MKEMIA MKUU WA SERIKALI ATOA VIGEZO 6 VYA UINGIZAJI WA KEMIKALI NCHINI
MKEMIA MKUU WA SERIKALI ATOA VIGEZO 6 VYA UINGIZAJI WA KEMIKALI NCHINI
Mkemia mkuu wa serikali Profesa Samwel Manyere akizungumza na waandishi wa habari kuhusu vigezo vya uingizaji Kemikali.
Mwambawahabari
Mwambawahabari
Maelekezo hayo yametolewa na mkemia mkuu wa serikali Prof Samwel Manyele wakati akizungumza na Wanahabari leo Jijini Dar es salaam.
Ambapo akitaja vigezo hivyo ambavyo vinaanza kutumika mara moja kuanzia hivi sasa ametaja na kusema kuwa ni pamoja na
1. Sio ruhusa kujishughulisha na shughuli za kemikali bila ya kuwa na hati ya usajili wa shughuli anayofanya.
2. Hakuna mzigo wa kemikali utakaoingizwa Tanzania kama maelezo (Label) hayako katika lugha ya Kiingereza au Kiswahili.
3. Maombi yote ya kibali yaamabatanishwe na 'Certificate of Registration'
4. Mzigo utakaoingizwa bila kibali na 'Label' utarudishwa uliko toka.
5. Kampuni ambazo hazina usajili kutoka kwa Mkemia mkuu wa Serikali, hazitaruhusiwa kuingiza kemikali nchini badala yake watalazimika kutumia kampuni zilizosajiliwa.
6. Hakuna mdau atakayeruhusiwa kushiriki tenda za ununuzi kwaajili ya kuuza kemikali bila kuwa na usajili kutoka kwa mkemia mkuu wa serikali.
Maelekezo hayo imeanza mara moja leo Agosti 17, 2017 baada ya tangazo hilo.
Hivyo makala MKEMIA MKUU WA SERIKALI ATOA VIGEZO 6 VYA UINGIZAJI WA KEMIKALI NCHINI
yaani makala yote MKEMIA MKUU WA SERIKALI ATOA VIGEZO 6 VYA UINGIZAJI WA KEMIKALI NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKEMIA MKUU WA SERIKALI ATOA VIGEZO 6 VYA UINGIZAJI WA KEMIKALI NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/mkemia-mkuu-wa-serikali-atoa-vigezo-6.html
0 Response to "MKEMIA MKUU WA SERIKALI ATOA VIGEZO 6 VYA UINGIZAJI WA KEMIKALI NCHINI"
Post a Comment