Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya

Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya
kiungo : Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya

soma pia


Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya

Mwanaume mmoja nchini Kenya, Martin Kamotho baada ya picha yake kusambaa katika mitandao ya kijamii akiwa kwenye foleni ya kuelekea kumchagua Rais wa Kenya, huku akiwa na mfuko wa makande mkononi ameibuka shujaa kupitia kitendo hicho.
Picha ya Martin maarufu kama Githeriman, ilisambaa na kupelekea apate mafanikio kwa kuzawadia vitu mbalimbali kama vile-: Sehemu ya bure ya kuishi katika maeneo ya Karen, Smart phones ya bure aina ya Samsung S8 iliyotolewa na kampuni ya Safaricom huku watoto wake wakipewa simu aina ya Tecno Canon.
Pia amepatiwa nafasi ya kwenda mapumziko na familia yake katika maeneo ya kivutio yaliopo Kenya, Maasai Mara na Kampuni moja ya kitalii ndiyo imehusika kusimamia mchongo mzima. Vile vile amepatia nguo za bure na duka moja la suti lilopo nchini humo.
Githeriman ameonekana kufanya kitendo cha kishujaa kwa kushiriki uchaguzi huo amabo ni muhimu huku akiwa ana kula jambo ambalo mtu mwingine asinge weza kula hadharani kwa kuhofia kupata aibu ama kuonekana.
Na Laila Sued


Hivyo makala Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya

yaani makala yote Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/makande-yampa-umaarufu-na-mafanikio.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Makande yampa Umaarufu na mafanikio mpiga kura huko Kenya"

Post a Comment