MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR
kiungo : MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR

soma pia


MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR

 Mgeni rasmi  Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan akisalimia na Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB,Dkt Charles kimei alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo kwenye hafla fupi ya kuzindua  jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount. 
  Mgeni rasmi  Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan akisalimia na Naibu Spika Mhe.Dkt Tulia Ackson alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo kwenye hafla fupi ya kuzindua  jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount.
 Mgeni rasmi  Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan akisalimia na  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Crdb, Ally Laay  alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo kuzindua  jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi,Hafla hiyo inaenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount.
  Baadhi ya akina mama wakiserebuka kwa pamoja kwenye hafla fupi ya  uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha Wanawake kiuchumi, linalozinduliwa na Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan,katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo jijin dar,Hafla hiyo inakwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount
 Mgeni rasmi  Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan akipitia hotuba yake kabla ya kuisoma mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika katika viwanja vya Posta-Kijitonyama mapema leo kushuhudia hafla fupi ya uzinduzi wa Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwendaa sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount.Pichani kulia ni  Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Waziri Jenista Mhagama na kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa jukwaa la Wanawake mkoa wa Dar,Mh Sophia Mjema pamoja na Naibu Spika wa Bunge Mhe.Dkt Tulia Ackson
 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Waziri Jenista Mhagama akimueleza jambo Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB,Dkt Charles kimei kabla ya uzinduzi wa  wa Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwendaa sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount,katika viwanja vya Posta-Kijitonyama jijini Dar
Sehemu ya Meza kuu ikifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijiri kwenye uzinduzi wa  Jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi inayokwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount,katika viwanja vya Posta-Kijitonyama jijini Dar.
 Baadhi ya akina mama wakiserebuka kwenye hafla fupi ya  uzinduzi wa jukwaa la kuwawezesha wanawake kiuchumi iliokwenda sambamba na uzinduzi wa mfumo mpya wa huduma za kibenki kwa njia ya simu wa SimAccount, linalozinduliwa na Makamu wa Rais Mh Samia Suluhu Hassan,katika viwanja vya Posta-Kijitonyama jijin dar


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/makamu-wa-rais-samia-suluhu-hassan_26.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA JUKWAA LA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI NA MFUMO MPYA WA HUDUMA ZA KIBENKI WA CRDB LEO JIJINI DAR"

Post a Comment