title : Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao
kiungo : Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao
Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao
Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe wakikata keki katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao nyumbani kwao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi wakijiunga na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi na Mama Rose Rupia wakiwa na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
Mzee Joseph Butiku na mkewe wakiwa na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
Keki ikiandaliwa
Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe Mama Everlyin Warioba wakiwa na Jaji Mstaafu Mark Bomani na mkewe katika hafla ndogo ya kusherehekea miaka 50 ya ndoa yao Mikocheni jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma.
Wakiwa na watoto na wajukuu kwenye sherehe ya nusu karne ya ndoa yao
Hivyo makala Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao
yaani makala yote Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/maisha-jaji-mark-bomani-na-mkewe.html
0 Response to "Maisha :Jaji Mark Bomani na mkewe washerehekea nusu karne ya ndoa yao"
Post a Comment