KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU.

KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU.
kiungo : KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU.

soma pia


KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU.

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.
MFANYABIASHARA Ramadhani Athumani Juma maarufu kama Elias Jeremiah Mazimbaka amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu shtaka la kujifanya kuwa yeye ni Mkurugenzi wa Habari wa Ikulu, Gerson Msigwa.(Pichani Chini)

Akisoma hati ya mashtaka leo mapema, wakili wa Serikali, Jackline Nyantori amedai, kati ya Juni 28 na Julai 4, mwaka huu jijini Dar es Salaam, kwa nia ya kudanganya mtuhumiwa huyo alijitambulisha kwa mtu mmoja anayeitwa Ladislous Matindi kuwa yeye ni Gerson Msigwa ambaye ni Mkurugenzi wa HABARI wa Ikulu.

Mbele ya Hakimu Godfrey Mwambapa  imedaiwa, mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo katika kipindi hicho kwa lengo la kujaribu kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu.

Mshtakiwa amekana mashtaka na amerudishwa rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana mahakama ilimtaka kuwa na wadhamini wawili watakaoweka dhamana sh milioni moja
Kesi imeahirishwa hadi Agosti 23,mwaka huu.


Hivyo makala KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU.

yaani makala yote KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/kizimbani-kwa-kujifanya-mkurugenzi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIZIMBANI KWA KUJIFANYA MKURUGENZI WA HABARI IKULU."

Post a Comment