IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO

IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO
kiungo : IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO

soma pia


IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa Jeshi hilo wanaoshiriki mafunzo ya wiki mbili ya kuwajengea Uwezo na Ujasiri wakati wanapotekeleza majukumu yao muda mfupi kabla ya kufungua rasmi mafunzo hayo yanayofanyika katika chuo cha Polisi Moshi CCP mkoani Kilimanjaro jana. Picha na Jeshi la Polisi.
Baadhi ya askari wa Jeshi la Polisi nchini kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) wanaoshiriki mafunzo ya wiki mbili ya kuwajengea Uwezo na Ujasiri wakati wanapotekeleza majukumu yao wakiwa tayari kumuonyesha Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (hayupo pichani), moja ya mbinu mahiri za kukabiliana na matishio ya kiuhalifu na wahalifu, mafunzo hayo yanayofanyika katika Chuo cha Polisi Moshi CCP. Picha na Jeshi la Polisi.


Hivyo makala IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO

yaani makala yote IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/igp-sirro-afungua-mafunzo-ya-kijeshi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO AFUNGUA MAFUNZO YA KIJESHI MKOANI KILIMANJARO"

Post a Comment