title : HAJI MANARA AIWAKILISHA YANGA WAKATI WA UTAMBULISHO WA JEZI
kiungo : HAJI MANARA AIWAKILISHA YANGA WAKATI WA UTAMBULISHO WA JEZI
HAJI MANARA AIWAKILISHA YANGA WAKATI WA UTAMBULISHO WA JEZI
Msemaji wa Simba, Haji Manara ameamua kufanya “uchale” baada ya kuiwakilisha Yanga wakati wa hafla fupi ya ukabizishwaji vifaa iliyofanywa na wadhamini wa Ligi Kuu Bara, Vodacom.
Manara alikwenda moja kwa moja jukwaani wakati vijana waliokuwa wakiiwakilisha Yanga kupanda jukwaani kutambulisha jezi hizo.
Kwa kuwa hakukuwa na mwakilishi wa Yanga, Manara alipanda jukwaani na kusema anawawakilisha akifanya utani ingawa baadhi walimpongeza na kusema aliiwakilisha timu ya baba yake, Sunday Manara, naye akasema hawezi kuwa Yanga hadi anakufa.
Hivyo makala HAJI MANARA AIWAKILISHA YANGA WAKATI WA UTAMBULISHO WA JEZI
yaani makala yote HAJI MANARA AIWAKILISHA YANGA WAKATI WA UTAMBULISHO WA JEZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HAJI MANARA AIWAKILISHA YANGA WAKATI WA UTAMBULISHO WA JEZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/haji-manara-aiwakilisha-yanga-wakati-wa.html
0 Response to "HAJI MANARA AIWAKILISHA YANGA WAKATI WA UTAMBULISHO WA JEZI"
Post a Comment