Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia.

Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia.
kiungo : Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia.

soma pia


Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia.



Jenerali Joseph Ole Nkaissery enzi za Uhai wake.
 
Waziri huyo amefariki dunia saa chache baada yake kulazwa katika hospitali ya kibinafsi ya Karen kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. 
Taarifa za kifo chake zimetangazwa na mkuu wa utumishi wa umma Bw Joseph Kinyua mwendo wa saa kumi na moja alfajiri. 

“Ni kwa huzuni kubwa na mshangao kwamba tunatangaza kifo cha ghafla cha Waziri wa Usalama wa Ndani Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery,” taarifa ya Bw Kinyua imesema. 

“Taifa litaendelea kupashwa habari zaidi punde maelezo yatakapopatikana.”
Jenerali Nkaissery amefariki siku chache baada ya mwanasiasa mkongwe G.G Gitahi aliyekuwa seneta wa jimbo la Laikipia kufariki dunia.

Waziri wa elimu nchini Kenya Dkt Fred Matiang'i (pichani) ameteuliwa kuwa kaimu waziri wa usalama wa ndani kufuatia kifo cha aliyekuwa waziri Meja Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery.



Hivyo makala Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia.

yaani makala yote Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-wa-usalama-wa-kenya-jenerali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri wa usalama wa Kenya Jenerali Mstaafu Joseph Nkaissery afariki dunia."

Post a Comment