title : Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar atembelea banda la Global Education Link
kiungo : Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar atembelea banda la Global Education Link
Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar atembelea banda la Global Education Link
Mkurugenzi wa Udahili wa Global Education Link Ltd Zakia Nassor akimuelezea jambo Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Moudline Castico wakati alipotembelea banda Global Eductaion Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.
Mtaalamu wa Udahili wa Global Education Link Medadi Sota akimuelezea Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar Moudline namna ya kuwasaidia wanafunzi kudahili wanafunzi katika nchi mbalimbali wakati alipotembelea banda la Global Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.
Wanafunzi wakiendelea kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya kupata mwongozo wa wa namna ya kujiunga na vyuo vya nje ya nchi kupitia Global Education Link katika maonesho ya biashara ya 41 ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba Jijini Dar es salaam.
Hivyo makala Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar atembelea banda la Global Education Link
yaani makala yote Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar atembelea banda la Global Education Link Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar atembelea banda la Global Education Link mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-wa-kazi-uwezeshaji-wazee-vijana_7.html
0 Response to "Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar atembelea banda la Global Education Link"
Post a Comment