WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA

WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA
kiungo : WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA

soma pia


WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katika akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Zahanati ya Kata ta Nguvumali leo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa na wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Said. 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu katika akisisitiza jambo kwa Muuguzi wa Afya wa Zahanati ya Nguvumali baada ya kuizindua kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo,Dkt Ally Bughe 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akizungumza katika uzinduzi huo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa na kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali na wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Alhaj Mussa Mbaruku 
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
Waheshimiwa madiwani kutoka Kata mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo.



Hivyo makala WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA

yaani makala yote WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-ummy-azindua-zahanati-nguvumali_22.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA"

Post a Comment