WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4

WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4
kiungo : WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4

soma pia


WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe Ijumaa ya Agosti 4, 2017, Jijini Dar es Salaam,  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mashindano ya Mbio za Magari ya ARC, yatakayo anza kutimua vumbi Agosti 5 mwaka huu, maeneo ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Julai 28, 2017, Rais wa Taasisi ya Automobile Association Tanzania (AAT) ambayo ndiyo muandaaji wa mashindano hayo, Nizar Jivan amesema mashindano hayo ya 16 Barani Afrika, yatashiriikisha madereva 15 kutoka nchi 10.
“Mashindabo haya yatashirikisha madereva 15 kutoka nchi 9 za Afrika ikiwemo Zambia, Rwanda na Kenya Mgeni rasmi ni Waziri wa Michezo, tunashukuru Baraza la Michezo nchini pamoja na wadhamini wengine waliojitokeza kudhamini mashindano haya, kwa ushirikiano wao,” amesema.
Kwa upande wake Meneja wa Mashindano hayo kutoka AAT, Satinda Bird, amesema wamejiandaa kuhakikisha usalama wa madereva na wananchi unakuwepo wakati wa mashindano, ambapo amesema kwa mwaka huu mashindano yatafanyika Mkoa wa Pwani, na kuanzia maeneo ya Lugoba kisha mbio za magari hayo kuishia Bagamoyo.
“Tumejiandaa vizuri sababu ushindani mwaka huu ni mkubwa, na tunatoa wito kwa mashabiki na wananchi wa eneo husika hususan madereva bodaboda,  kuzingatia usalama sababu gari zitakuwa zinaenda kwa kasi hivyo wasikae barabarani hasa kwenye kona,” ammesema.
Naye Mkurugezi Mtendaji wa Kampuni ya ORYX ambayo ni miongoni mwa wadhamini wa mashindano hayo, Sophonie Babo amesema kampuni hiyo itaendelea kudhamini mashindano hayo.
“Kwa miaka minne sasa tunadhamini mashindano haya na tutaendelea kudhamini na mashindano ya mwakani,”amesema.


Hivyo makala WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4

yaani makala yote WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-mwakyembe-kufungua-mashindano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE KUFUNGUA MASHINDANO YA MAGARI YA ARC AGOSTI 4"

Post a Comment