CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020

CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020
kiungo : CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020

soma pia


CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020


NA WAMJW –DAR ES SALAAM.

CHANJO ya homa ya Ini inatarajiwa kupatikana kwa wananchi wote bila kujali kigezo cha umri wala uwezo wa kifedha kwa wananchi wenye hatari au ugonjwa wa ini kwa bei nafuu mpaka kufikia mwaka 2020 kutoka mwaka wa fedha 2018/2019.

Hayo yamezungumzwa na Waziri wa afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia , Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya ugonjwa wa homa ya ini duniani.

“Katika kuadhimisha siku ya ugonjwa wa homa ya ini duniani tumedhamiria kuhakikisha chanjo ya ugonjwa huu inapatikana kwa watu wote nchini ambao wana hatari ya kupata maambukizi ya homa ya ini au tayari wamepata ugonjwa huo kwa bei nafuu kwa mswaka wa bajeti 2018/2019” alisema Waziri Ummy. 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akiwahutubia waandishi nwa habari (Hawapo kwenye picha) katika kilele cha maazimisho ya siku ya Homa ya Ini Duniani yaliyofanyika leo katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mganga mkuu wa Serikali Pro Muhamad Bakari kambi na Kulia ni Afisa kutoka kitengo cha magonjwa ya Mlipuko Dkt. Azma Simba. 
Waandishi wa habari kutoka vyombo tofauti wakifuatilia kwa ukaribu tamko la kilele cha maadhimisho ya Homa ya Ini Duniani lililotolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu (Hayupo kwenye picha) leo katika ofisi ndogo za Wizara ya Afya jijini Dar es salaam 



Hivyo makala CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020

yaani makala yote CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/chanjo-ya-homa-ya-ini-kupatikana-kwa_28.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHANJO YA HOMA YA INI KUPATIKANA KWA WANANCHI WOTE MPAKA KUFIKIA 2020"

Post a Comment