title : wazazi tambueni vipaji vya watoto wenu ili muwaendeleze
kiungo : wazazi tambueni vipaji vya watoto wenu ili muwaendeleze
wazazi tambueni vipaji vya watoto wenu ili muwaendeleze
Mtoto Lameck Charles (9) pamoja na mdogo wake Fredrick Charles (8) ni wanafunzi wa shule ya Msingi Inteki wakiwa wanaonyesha mchezo wa sarakasi ndani ya stendi ndogo ya jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya kazi ambayo wanaifanya kipindi wakiwa likizo.
Watoto hawa ambao walikutwa na kamera yetu walisema kuwa wamekuwa wakitumia kipaji hicho walichojifunza kutoka kwa kaka yao kujipatia fedha ya kununulia vitu vidogo vidogo pindi pale wanaporejea shuleni.
Pembeni ni baadhi ya wananchi wakiwa wanawashuhudia watoto hao wakiendelea kuonyesha vipaji vyao. Wengi walipohojiwa walisema iko haja kwa wazazikutambua na kuendeleza vipaji vya watoto wao badala ya kuwaachia wanahangaika wenyewe.
Picha na Woinde Shizza, Arusha

Hivyo makala wazazi tambueni vipaji vya watoto wenu ili muwaendeleze
yaani makala yote wazazi tambueni vipaji vya watoto wenu ili muwaendeleze Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala wazazi tambueni vipaji vya watoto wenu ili muwaendeleze mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wazazi-tambueni-vipaji-vya-watoto-wenu_13.html
0 Response to "wazazi tambueni vipaji vya watoto wenu ili muwaendeleze"
Post a Comment