JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI

JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI
kiungo : JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI

soma pia


JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI


Na Jumia Travel Tanzania
Jumia kwa mara ya pili mfululizo imeorodheshwa na Taasisi ya Kiteknolojia ya Massachusetts (MIT) ya nchini Marekani kuwa ni miongoni mwa makampuni 50 bora yanayotumia teknolojia katika biashara ili kurahisisha utoaji na upatikanaji wa huduma.
Kwenye orodha hiyo ambayo hujumuishwa makampuni makubwa ya kiteknolojia duniani kama vile Apple, Amazon, Facebook na Alibaba, Jumia kwa mwaka huu wa 2017 imetajwa kushika nafasi ya 44 kutokea nafasi ya 47 iliyoishika mwaka 2016.
MIT imeiatambua Jumia ambayo ilianzishwa mwaka 2012 ikijulikana kama Africa Internet Group (AIG) kwamba ni miongoni mwa makampuni ya awali kuchipukia barani Afrika, ikiwa na thamani ya dola za Kimarekani bilioni moja kutoka dola za Kimarekani milioni 327 ambapo ilimjuisha Goldman Sachs kama mmojawapo wa wawekezaji wake.
Ikiwa inajishughulisha na utoaji wa huduma mtandaoni kwenye maeneo kama vile manunuzi ya bidhaa, usafiri, chakula, makazi na magari ambazo zote zinatumia jina la Jumia, kampuni hiyo inapambana na changamoto za kufanya biashara kwa njia ya mtandao barani Afrika zikiwemo barabara zisizopitika kwa urahisi, wateja wasiotabirika, kukosekana kwa mtandao wa intaneti kwenye baadhi ya maeneo ambapo lengo kubwa ni kuwashawishi watu wa tabaka la kati kufanya matumizi.



Hivyo makala JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI

yaani makala yote JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/jumia-yatajwa-miongoni-mwa-makampuni-50.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JUMIA YATAJWA MIONGONI MWA MAKAMPUNI 50 BORA YA KITEKNOLOJIA DUNIANI"

Post a Comment