Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210.

Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210.
kiungo : Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210.

soma pia


Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210.

Na Karama Kenyunko-Globu ya jamii.

RAIA wa Uganda, Edwin Gusongoirye (30) na Mfanyabiashara, Steven Simon (45) wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia serikali hasara ya Sh milioni 210.2.

Gusongoirye ambaye ni mfamasia pamoja na Simoni wamesomewa mashitaka yao sita  mbele ya Hakimu Mkazi, Godfrey Mwambapa.

Hati ya mashitaka hayo, imsomwa na Wakili Mwandamizi wa Serikali, Nassoro Katuga na kudai kuwa kati ya Machi 6 na Juni 22, mwaka huu jijini Dar es Salaam, washitakiwa walitengeneza mfumo wa kutumia huduma za mtandao kwa lengo la kukwepa kodi ya kupokea na kusambaza mawasiliano bila kuwa na kibali kutoka TCRA

Imedaiwa kuwa kati ya Machi 6 na Juni 22, 2016, washitakiwa hao kwa pamoja waliendesha mfumo wa kupokea na kusambaza mawasiliano ya Kimataifa bila kuwa na leseni ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Katika shtaka la tatu kuwa, imedaiwa kuwa,  Gusongoirye na Simon waliingiza vifaa vya mawasiliano nchini ambavyo ni maboksi matatu ya simu bila kuwa na kibali cha TCRA.

Aidha, washtakiwa hao wanadaiwa, kabla ya Machi, 2012 jijini Dar es Salaam, walisimika vifaa mbalimbali vya mawasiliano zikiwemo kompyuta mpakato mbili aina ya Dell na Hp bila kibali.

  Watuhumiwa, Steven Simon, aliyetangulia mbele na Edwin Gusongoirye, raia wa Uganda, wakipelekwa mahakamani kusomewa kesi yao ya uhujumu uchumi. 



Hivyo makala Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210.

yaani makala yote Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wawili-kizimbani-kwa-kuingilia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wawili kizimbani kwa kuingilia mawasiliano nchini na kuisababishia TCRA hasara zaidi ya milioni 210."

Post a Comment