WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA

WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA
kiungo : WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA

soma pia


WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA

Watemi wa Kisukuma Kanda ya Ziwa Victoria na viongozi wa Chama Cha Watu Wenye Ualbino nchini Tanzania( Tanzania Albinism Society -TAS) wamefanya usafi wa mazingira kisha kula chakula cha pamoja na watoto wenye ualbino wanaolelewa katika kituo cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga.

Katibu Mtendaji wa Chama Cha Watu Wenye Ualbino nchini Tanzania -TAS Taifa Bw. Mussa Mussa akizungumza katika kituo/Shule ya Msingi Buhangija katika manispaa ya Shinyanga.Kulia ni Katibu wa Umoja wa Watemi wa Kisukuma kanda ya Ziwa, ambaye ni chifu/mtemi wa Bujashi wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza Charles Dotto Balele.Kushoto ni Mwalimu Mlezi wa Shule ya Msingi Buhangija, Frola Kakutebe.
Watoto na maafisa kutoka TAS wakiwa eneo la tukio
Katibu wa Umoja wa Watemi wa Kisukuma kanda ya Ziwa, ambaye ni chifu/mtemi wa Bujashi wilaya ya Magu mkoa wa Mwanza Charles Dotto Balele Itale akila chakula na watoto wanaolelewa katika kituo cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga. 



Hivyo makala WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA

yaani makala yote WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/watemi-wa-kisukuma-viongozi-wa-tas.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WATEMI WA KISUKUMA, VIONGOZI WA TAS WATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE UALBINO SHINYANGA"

Post a Comment