title : WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAADHIMISHO YA 41 YA MAONESHO YA SABASABA
kiungo : WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAADHIMISHO YA 41 YA MAONESHO YA SABASABA
WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAADHIMISHO YA 41 YA MAONESHO YA SABASABA
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye maadhimisho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam
Farasi awa kivutio kwa watoto wengi wajitokeza kupiga picha.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mpakani wakiwa wamekuja kutembelea maadhimisho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam
Wananchi wakiwa wametembelea banda la Mifugo na uvuvi na kuangalia namna samaki aina ya kambale wanavyofugwa maadhimisho ya 41 ya biashara ya kimataifa katika Viwanja vya Sabasaba leo Jijini Dar es salaam.Picha na Team Michuzi Sabasaba.
Hivyo makala WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAADHIMISHO YA 41 YA MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAADHIMISHO YA 41 YA MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAADHIMISHO YA 41 YA MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/wananchi-wajitokeza-kwa-wingi-katika.html
0 Response to "WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAADHIMISHO YA 41 YA MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment