title : TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA
kiungo : TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA
TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA
--
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu nchini (TFS), Profesa Dos Santos Silayo akiwa katika banda la TFS na Familia yake katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam ambapo aliweza kukagua namna ya shughuli za Tasisi hiyo zinavyofanywa .
Afisa Ufugaji Nyuki kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Mwanahamisi Mapolu akizungumza na wawekezaji kutoka Oman waliofika katika banda la TFS cujus ni aina gani ya Asali zinapatikana niching
Mjumbe wa Bodi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Bi Sauda Simba akipata maelezo kutoka kwa Afisa Ufugaji Nyuki kutoka TFS, Mwanahamis Mapolu wakati alipotembelea Banda hilo katika maonesho ya 41 ya Sabasaba jijini Dar es Salaam
Mjasiliamali kutoka Viana Kushoba wanaotengeneza Mashine ya makaa Mbadala akiwapa makaawakazi wa jiji waliomtembelea katika Maonesho ya 41 ya Sabasaba na kununua mkaa huo ambao ni rafiki wa mazingira na unazuia ukataji miti hivyo kusaidia katika kulinda misitu yetu.
Afisa ufugaji Nyuki wa Shamba la miti la serikali la Sao Hill linalomilikiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),Said Abubakary akionesha waandishi wa habari moja ya malighafi inayotokana na misitu katika kutengeneza vipodozi vya aina mbalimbali
Hivyo makala TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA
yaani makala yote TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/tfs-yatoa-fursa-za-uhifadhi-wa-misitu.html
0 Response to "TFS YATOA FURSA ZA UHIFADHI WA MISITU NA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA"
Post a Comment