TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS

TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS
kiungo : TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS

soma pia


TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS

Mwambawahabari


Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa
kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji
(Stiegler's Gorge Hydro Power Project) yaliyopo ndani ya Pori la Akiba la
Selous mbele ya wajumbe wa Kamati ya Urithi wa Dunia kutokana na
umuhimu wake kwa maendeleo ya Watanzania.





Akizungumza
mwishoni mwa wiki katika mkutano wa 41 wa wajumbe wa Kamati ya Urithi wa Dunia
unaoendeshwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa
(UNESCO) ambao unaendelea katika Jiji la Krakov nchini Poland, Kiongozi wa
msafara huo ambaye ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali
Gaudence Milanzi aliwaeleza wajumbe wa mkutano huo kuwa mpango huo ulikuwepo
katika ajenda ya Serikali ya Tanzania tangu miaka ya 1960's na kwamba ukubwa wa
eneo litakalotumika kutekeleza mradi huo ni asilimia tatu tu ya eneo lote la
pori hilo ambalo lina ukubwa wa kilometa za mraba 50,000.


Aliongeza kuwa, “Itakumbukwa kuwa mnamo mwaka 1982 wakati pori
hili (Selous) limewekwa katika orodha ya maeneo ya urithi wa dunia, Shirika la
Umoja wa Mataifa la Uhifadhi wa Asili (IUCN) liliutambua mradi huo wa
Stiegler's Gorge kutokuwa na madhara makubwa katika uharibifu wa mazingira
ukizingatia ukubwa wa pori hilo na eneo litakalotumika kujenga mradi huo”.


Aliwaeleza wajumbe hao kuwa, Serikali ya Tanzania inatekeleza
sera ya kujenga uchumi wa viwanda hali inayopelekea kuwa na mahitaji makubwa ya
nishati ya umeme hivyo kwa kuzingatia vyanzo vilivyopo imekuwa ni muhimu sasa
kufikiria tena ujenzi wa mradi huo kama chanzo kingine muhimu cha nishati
kuwezesha kufikia azma hiyo.


Alisema
mradi huo utaongeza uzalishaji wa umeme nchini kufikia asilimia 144.8 hivyo
kuondoa upungufu wa nishati uliopo kwa sasa na pindi utakapokamilika
utawanufaisha watanzania wengi wanaoishi bila umeme ikiwa ni pamoja na kukidhi
mahitaji yake ya kuendesha viwanda.

Muonekano wa mto Rufiji kutokea angani ambao maporomoko yake yatatumika kuzalisha umeme katika mradi unaotarajiwa kujengwa na Serikali wa Stiegler's Gorge.

Sehemu ya mto Rufiji unakatiza katika Pori la Akiba la Selous.


Hivyo makala TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS

yaani makala yote TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/tanzania-yabadili-msimamo-wa-unesco-wa_9.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TANZANIA YABADILI MSIMAMO WA UNESCO WA KUITAKA KUSITISHA UJENZI WA MRADI WA STIEGLER'S GORGE KATIKA PORI LA AKIBA LA SELOUS"

Post a Comment