SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili

SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili
kiungo : SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili

soma pia


SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili


Ni simulizi la ukweli linalo husu maisha ya kijana Lugwisha kutoka kitongoji cha Goweko, wilayani Uyui mkoani Tabora ambaye baada ya kumaliza shule ya msingi mnamo mwaka 1994 huko kijijini kwao, alifunga safari hadi jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kutafuta maisha. 


 Miaka kumi baadae kijana Lugwisha akawa amepata mafanikio makubwa yaliyobadilisha maisha yake. Mafanikio katika maisha ya Lugwisha yanasababisha kuinuka kwa maadui ambao hawapendezwi na kufanikiwa kwake. Maadui hawa wanapanga njama mbalimbali za kupambana dhidi ya mafanikio ya Lugwisha. 

Kati ya maadui wa Lugwisha, ni maadui wawili tu ndio wanaonekana kuwa na nia thabiti na ya dhati katika mapambano dhidi ya Lugwisha. Maadui hao ni Beka Msangi pamoja na Bundala. 
Beka Msangi alikuwa mmiliki wa bar iliyo kuwa jirani na bar iliyo milikiwa na Lugwisha. Bar hii ya Lugwisha ilikuwa ni moja kati ya makumi ya vitega uchumi vyake vilivyo muingizia fedha nyingi. Bar ya Lugwisha ilikuwa maarufu sana jijini Dar es Salaam na ilikuwa ikifurika wateja kuanzia Jumatatu hadi Jumapili. 
Bar hii ya Lugwisha ilikuwa katika eneo lenye bar nyingi. Uwepo wa bar ya Lugwisha katika eneo hilo uliua biashara ya karibu bar zote zilizo kuwepo katika eneo ikiwemo bar ya Beka Msangi. Beka Msangi hakutaka kukubaliana na hali hiyo na hivyo kufikia uamuzi wa kusafiri hadi katika kijiji cha Mchukwi wilayani Rufiji mkoani Pwani, kwa ajili ya kumroga Lugwisha. Baada ya kupiga ramli, wachawi wa Rufiji wanaona njia pekee ya kupambana na Lugwisha ni kumuhamisha kichawi yeye na bar yake kwa kutumia uchawi wa Kizigua, ujulikanao kama “Sunkwa”. 


Hivyo makala SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili

yaani makala yote SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/simulizi-kitanda-cha-sokwe-mtu-na-dokta.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SIMULIZI: KITANDA CHA SOKWE MTU na Dokta Mungwa Kabili"

Post a Comment