title : Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani
kiungo : Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani
Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib akitoa hotuba katika Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Postdam Ujerumani Jan Jacob akitoa hotuba katika Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujerumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia wakibadilishana hati baada ya kitiliana saini na Mstahiki Meya wa Postdam Ujarumani Jan Jacob kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar Abdulrahman Khatib kulia akiwa pamoja na Mstahiki Meya wa Jiji la Postdam Ujerumani wakionesha hati walizotiliana saini kuhusiana na mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani
yaani makala yote Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/sherehe-ya-kusaini-mkataba-wa.html
0 Response to "Sherehe ya kusaini mkataba wa mashirikiano kati ya Baraza la manispaa ya mjini na Jiji la Postdam la Ujerumani"
Post a Comment