NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU

NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU
kiungo : NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU

soma pia


NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU


Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Rais chama cha Mawakili nchini (TLS),Mh. Tundu Lissu akishuka kwenye gari maalum mara baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema hii leo jijini Dar,akituhumiwa kwa makosa ya Uchochezi.

Tundu Lisu alikamatwa  Julai 20 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) alikokuwa akielekea Kigali, Rwanda kwenye Mkutano wa Marais wa Vyama vya Mawakili Afrika Mashariki.
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Rais wa chama cha Mawaikili nchini (TLS),Mh. Tundu Lissu akiingizwa ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema hii leo jijini Dar,kujibu tuhuma za kesi yake inayomkabili ya ya Uchochezi.

Tundu Lisu alikamatwa  Julai 20 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) alikokuwa akielekea Kigali, Rwanda kwenye Mkutano wa Marais wa Vyama vya Mawakili Afrika Mashariki.
 
HABARI ZAIDI TUTAWALETEA HIVI PUNDE. 


Hivyo makala NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU

yaani makala yote NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/newz-alerttundu-lissu-afikishwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWZ ALERT:TUNDU LISSU AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU MCHANA HUU"

Post a Comment