title : MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO
kiungo : MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO
MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO
Mwenyekiti wa Klabu ya Gymkhana, Walter Chipeta (kulia) akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya mpira wa miguu wa klabu ya Gymkhana Ali Mmandi (mwenye jezi ya kijani) baada ya timu yake kuibuka kidedea katika michuano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya klabu hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Gymkhana jana jijini Dar es salaam.

Michuano ya mpira wa miguu ikiendelea
Mchezaji wa mpira wa Golf Mwanaidi Ibrahim akishiriki katika michuano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya klabu hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Gymkhana jana jijini Dar es salaam.
Hivyo makala MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO
yaani makala yote MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/michezo-mbalimbali-yaendelea-gymkhana.html
0 Response to "MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO"
Post a Comment