MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO

MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO
kiungo : MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO

soma pia


MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii


TIMU ya mpira wa Kikapu ya Mchenga Bball Stars imefanikiwa kuingia hatua ya fainali moja kwa moja baada ya kutoka na ushindi katika mchezo wa pili wa nusu fainali kwa kuinyuka Flying Dribblers vikapu 114 dhidi ya 52.

Katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali ya Sprite Bball Kings 2017, Mchenga walifanikiwa kutoka na ushindi wa vikapu 119 dhidi ya 70 vya Flying Dribblers na kupelekea Mchenga kwenda hatua ya fainali baada ya kuibuka kidedea katika michezo miwil baina ya mitatu.

Michuano hiyo ya Sprite Bball Kings 2017 inayoendelea katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay ilizikutanisha timu nyingine katika mchezo wa pili wa nusu fainali baina ya Kurasini Heat dhidi ya TMT.

Kutokana na ushindi wa TMT wa mchezo wa pili kwa kuibuka kidedea kwa kuwabamiza Kurasini Heat vikapu 92 dhidi ya 61 huku katika mchezo wa kwanza Kurasini Heat wakiibuka kidedea kwa kushinda alama za vikapu 87 kwa 80.

Mchezo wa nusu fainali ya tatu ili kuweza kumpata mshindi atakayeungana na Mchenga katika hatua ya fainali, mchezo huo utapigwa siku ya Kesho katika Viwanja vya Don Bosco.

Fainali ya mchezo huo inatarajiwa kuanza siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Ndani wa Taifa ikichezwa katika hatua tano ili kuweza kumpata bingwa wa Sprite Bball Kings 2017 na kuondoka na kitita cha Milion 10 huku mshindi wa pili akichukua Milion 3 na mchezaji bora wa Mashindano (MVP) akijinyakulia milion 2.

 Mpambano baina ya Mchenga (Nyeupe) dhidi ya Flying Dribblers (Bluu) ulimalizika kwa Mchenga kuingia katika hatua ya fainali baada ya kuibuka na ushindi aktika michezo miwili ya nusu faimali ikiwa inazisubiri timu za Kurasini Heat na TMT watakaovaana kesho katika fainali ya tatu Viwanja vya Don Bosco Oysterbay.


Hivyo makala MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO

yaani makala yote MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/mchenga-yatinga-fainali-sprite-bbaal.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MCHENGA YATINGA FAINALI SPRITE BBAAL KINGS, KURASINI VS TMT MBABE KUPATIKANA KESHO"

Post a Comment