title : Ivomapunda Sports Centre yaandaa kliniki maalumu kwa makipa wote na makocha wa magolikipa Julai 14, 2017 uwanja wa Karume jijini Dar es salam
kiungo : Ivomapunda Sports Centre yaandaa kliniki maalumu kwa makipa wote na makocha wa magolikipa Julai 14, 2017 uwanja wa Karume jijini Dar es salam
Ivomapunda Sports Centre yaandaa kliniki maalumu kwa makipa wote na makocha wa magolikipa Julai 14, 2017 uwanja wa Karume jijini Dar es salam
Kipa wa kimataifa mstaafu wa Taifa Stars Ivo Mapunda ameandaa clinic ya magolikipa siku ya tarehe14 Julai, 2017 itayofanyika katika uwanja wa Karume kuanzia saa mbili asubuhi.
Mgeni rasmi ni mkufunzi anayetoka nchini Poland, Marek Dragozs. Kituo cha Ivomapunda Sports Center ndio kimeandaa hii clinic.
Hivyo makipa wote na makocha wa magolikipa wanaalikwa kuhudhuria kwa mchango mdogo wa shilingi 5000 tu. Hii si ya kukosa!
Hivyo makala Ivomapunda Sports Centre yaandaa kliniki maalumu kwa makipa wote na makocha wa magolikipa Julai 14, 2017 uwanja wa Karume jijini Dar es salam
yaani makala yote Ivomapunda Sports Centre yaandaa kliniki maalumu kwa makipa wote na makocha wa magolikipa Julai 14, 2017 uwanja wa Karume jijini Dar es salam Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ivomapunda Sports Centre yaandaa kliniki maalumu kwa makipa wote na makocha wa magolikipa Julai 14, 2017 uwanja wa Karume jijini Dar es salam mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ivomapunda-sports-centre-yaandaa.html
0 Response to "Ivomapunda Sports Centre yaandaa kliniki maalumu kwa makipa wote na makocha wa magolikipa Julai 14, 2017 uwanja wa Karume jijini Dar es salam"
Post a Comment