EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA

EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA
kiungo : EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA

soma pia


EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA

Na Anil Ricco, Globu ya Jamii
Timu ya Soka ya Everton inayoshiriki Ligi Kuu Soka nchini Uingereza (EPL) inatarajiwa kuingia nchini Tanzania, July 12 kucheza Mchezo wake wa Kirafiki na Klabu ya Soka ya Gor Mahia ya nchini Kenya, July 13 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Everton inaingia nchini ikiwa na Gwiji wake wa Soka, Wayne Rooney aliyesajiliwa hivi karibuni.

Katika mchezo huo baina ya Everton na Gor Mahia, Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Michezo, Yusuph Omary Singo amesema kuwa Mgeni rasmi atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Akithibitisha ujio wa Kikosi hicho, Mkurugenzi wa SportPesa nchini Tanzania, Abbas Talimba amesema maandalizi yote yamekamilika kwa Everton kutua nchini, amesema Kikosi hicho kinakuja na Wanandinga wake wote.

Kwa upande wa Upatikanaji wa Tiketi, Selcom kupitia Meneja Miradi na Mshauri wa Mifumo, Galusi Lunyeta amesema watu watakaokuja kushuhudia mchezo huo watahakikisha wote wanapata tiketi kupitia Mfumo huo wa Selcom, kuanzia saa mbili asubuhi siku ya Mechi.

Pia katika Suala la Ulinzi na Usalama, Inspekta wa Jeshi la Polisi, Hasheem Abdallah amesema kuwa njia zitakazotumika kuingia Uwanjani siku ya Mchezo huo katika Uwanja wa Taifa ni Mandela Road na Kilwa Road, watu kufika Uwanjani na kutoka.
Mkurugenzi wa Michezo, Yusuph Omary Singo akizungumza kwa niaba ya Serikali katika kuupokea ugeni wa Timu ya Everton wanaokuja kucheza Mchezo wa Kirafiki na Gor Mahia ya nchini Kenya, July 13 mwaka huu.
 Mkurugenzi wa SportPesa nchini, Abbas Talimba akifafanua jambo juu ya ujio wa Timu ya Everton ya Uingereza July 12 mwaka
 Afisa Usalama wa TFF na FIFA, Inspekta Hasheem Abdallah akifafanua kuhusu Ulinzi katika Mchezo huo utakaopigwa July 13 katika Dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Meneja Miradi na Mshauri wa Mifumo - SELCOM, Galusi Lunyeta akifafanua juu ya upatikanaji wa Tiketi siku ya Mchezo huo July 13.


Hivyo makala EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA

yaani makala yote EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/everton-kutua-nchini-july-12-kucheza-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "EVERTON KUTUA NCHINI JULY 12 KUCHEZA NA GOR MAHIA"

Post a Comment