BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani

BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani
kiungo : BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani

soma pia


BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani

MSIMU wa tatu wa michuano ya BRAZUKA KIBENKI unaoshirikisha taasisi za kibenki katika michezo ya mpira wa miguu na kikapu unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu jijini Dar es Salaam.

Katika msimu huu michuano hiyo itashirikisha timu 15 ambazo ni NMB (Mabingwa watetezi), DTB, Barclay’s, BancABC, Exim, Stanbic, BOA, UBA, Letshego, EcoBank, CRDB, BOT, Azania, TPB, Access na UBA.

Mmoja wa maofisa wa benki ya Exim, Frank Rweyemamu ambaye pia ni mwanachama wa tawi la Simba Makini linalomiliki mtandao huu alivitaja viwanja vitakavyotumika kuwa ni Gymkhana na DonBosco.
Martin Komba wa DTB (kulia) akimtoka Hezbo wa NMB katika pambano la jana

“Michuano ya mwaka huu itafanyika katika viwanja vya Gymkhana kwa mpira wa miguu huku mechi za mpira wa kikapu zikitarajiwa kuchezwa katika uwanja wa DonBosco.” Alisema Rweyemamu.

Jana kulikuwa na mchezo wa ngao ya hisani ambapo mabingwa watetezi NMB walikubali kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa DTB katika mchezo wa kuashiria kuanza kwa michuano hiyo.

Bingwa wa msimu huu atakabidhiwa kikombe pamoja na medali.


Hivyo makala BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani

yaani makala yote BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/brazuka-kibenki-maofisa-kuonyeshana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BRAZUKA KIBENKI: Maofisa kuonyeshana kazi viwanjani"

Post a Comment