title : BENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI LAIKALA KONGWA DODOMA
kiungo : BENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI LAIKALA KONGWA DODOMA
BENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI LAIKALA KONGWA DODOMA
Spika wa Bunge, Job Ndugai, ambaye pia ni mbunge wa Kongwa, akipokea mfano wa hundi ya Sh. Milion 15 kutoka kwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Tawi laDodoma, Rehema Hamisi kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba ya walimu katika Shule ya Sekondari Laikala iliyopo wilayani Kongwa. Kulia ni Diwani wa Kata ya Sagala, Simon Kamando, akishuhudia.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Dodoma pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo.
Wanafunzi wakifurahia mfano wa hundi iliyotolewa na Benki ya CRDB.
Sehemu ya mifuko ya sarui iliyokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Shule ya Sekondari Laikala.
Sehemu ya mifuko ya sarui iliyokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Shule ya Sekondari Laikala.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya makabidhiano ya hundi ya Sh. Milioni 15 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyunba ya walimu pamoja na kuboresha miundombinu katika Shule ya Sekondari Laikala.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala BENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI LAIKALA KONGWA DODOMA
yaani makala yote BENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI LAIKALA KONGWA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI LAIKALA KONGWA DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/benki-ya-crdb-yasaidia-ujenzi-wa-nyumba.html
0 Response to "BENKI YA CRDB YASAIDIA UJENZI WA NYUMBA YA WALIMU KATIKA SHULE YA SEKONDARI LAIKALA KONGWA DODOMA"
Post a Comment