Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea.

Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea.
kiungo : Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea.

soma pia


Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea.

Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi wa UWT, wakati wa ziara ya wabunge hao katika Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wanachama wa CCM Kata ya Kitunda wakimsikiliza kwa makini Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, wakati akiwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha uchaguzi na kuimarisha chama kuelekea uchagzi wa UWT
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa UWT na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akiagana na baadhi ya wanachama wa CCM baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa UWT na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Kitunda CCM uliopo Kitunda jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa Wabunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Dar es Salaam, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angela kairuki, akizungumza na Wanachama wa CCM na Viongozi wa UWT, wakati wa ziara ya wabunge hao katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza, wakati wa ziara ya wabunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, katika Jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala kuhamasisha wanachama kuhusu uchaguzi wa Jumuiya hiyo na Uhai wa Chama katika mkutano uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa CCM Liwiti Tabata Dar es Salaam


Wanachama wa CCM wakifurahia na kucheza kwa pamoja wakati wa mkutano huo.
Wanachama wa CCM wakifurahia na kucheza kwa pamoja wakati wa mkutano huo.



Hivyo makala Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea.

yaani makala yote Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/ziara-ya-wabunge-wa-viti-maalum-mkoa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ziara ya Wabunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Kuhamasisha Wanachama Kuelekea Uchaguzi wa UWT na Kuimarisha Chama Jimbo la Segerea."

Post a Comment