WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO.

WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO.
kiungo : WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO.

soma pia


WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO.

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba akizungumza wakati wa baraza la Eid lililofanyika kwenye shule ya Sekondari Jumuiya mjini Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kushoto ni Shehe wa mkoa wa Tanga,Juma Luwuchu.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumza katika baraza hilo kushoto ni  Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa.
Shehe wa mkoa wa Tanga,Juma Luwuchu akizungumza katika baraza hilo ambapo aliwataka waislamu kuendelea kutenda mambo mema kulia ni Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba na mkuu wa mkoa wa Tanga,Martine Shigella.
 Sehemu ya waumini wakimsikiliza Waziri Makamba kwenye Baraza hilo leo
  Sehemu ya waumini wakimsikiliza Waziri Makamba kwenye Baraza hilo leo.



Hivyo makala WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO.

yaani makala yote WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waziri-makamba-awataka-waislamu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO."

Post a Comment