Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro.

Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro.
kiungo : Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro.

soma pia


Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro.

Kundi la Wanamichezo 60 wakiwemo wachezaji 30 wa timu za taifa za wanawake kutoka mataifa zaidi ya 20 walioshiriki kuweka rekodi ya kucheza soka katika eneo la kreta lililopo katika kilele cha Uhuru.
Baadhi ya wachezaji walioshiriki mchezo wa soka katika Kilele cha uhuru ,Mlima Kilimanjaro.
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) Betrta Loibook akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii nchini ,Devota Mdachi walipowapokea wachezaji wa timu za taifa za wanawake wakati wakishuka kutoka Mlima Kilimanjaro kupitia geti la Mwika.
Mhifadhi Mkuu KINAPA,Betrita Loibook pamoja na Afisa Uhusiano Mkuu wa Bodi ya Utalii,Geofrey Tengeneza wakifurahia mara baada ya wachezaji wa timu za taifa za wanawake kutoka mataifa mbalimbali duniani kuweka rekodi ya kucheza mpira katika kilele cha Uhuru .
Wachezaji wa timu za Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Bodi ya utalii pamoja na Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro.
Timu za Gracier fc na Volcano fc zikijiandaa kwa mchezo wa kirafiki katika eneo la Kreta,kilele cha Uhuru ,Mlima Kilimanjaro.
Wachezaji wakiweka pozi la picha katika Kreta ya Uhuru katika kilele cha Uhuru ,Mlima Kilimanjaro.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini.

Wachezaji 30 wa timu za soka za mataifa mbalimbali wameshiriki kuweka rekodi ya kwanza Duniani kwa kucheza mchezo wa kirafiki katika mlima Kilimanjaro ,umbali mita 5731 kutoka usawa wa bahari .

Rekodi nyingine iliyowekwa ni ile ya mwamuzi wa kike wa Tanzania anayetambulika na Shirikiho la Soka Duniani (FIFA) ,Jonesia Rukyaa  kuchezesha mchezo huo  wa dakika 90 uliomalizika kwa sare ya bila kufungana .


Hivyo makala Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro.

yaani makala yote Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/wanawake-waweka-rekodi-ya-kucheza-soka_53.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wanawake Waweka Rekodi ya Kucheza Soka Katika Kilele Cha Uhuru Mlima Kilimanjaro."

Post a Comment