title : UTARATIBU MPYA WA USAJILI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI WAJA
kiungo : UTARATIBU MPYA WA USAJILI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI WAJA
UTARATIBU MPYA WA USAJILI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI WAJA
MwambawahabariBaada ya kufutwa utaratibu wa mawakala ‘agents’ wa wachezaji wa kulipwa, Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), lilitangaza utaratibu mpya wa kukasimu majukumu hayo kwenye ngazi ya mashirikisho kwa kila taifa.
Hivyo kwa mwaka 2016/2017, hakuna usajili wala uhamisho uliofanywa na watu wa kati yaani intermediaries wanaotambulika na TFF.
TFF – Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, linakwenda sambamba na utaratibu huo wa mabadiliko na kwa sasa linakamilisha mipango ya kusajili watu wa kati wa usajili watakaofahamika kama intermediaries.
Usahili wa kati utatangazwa baada ya kikao cha Kamati ya Utendaji kitakachojadili kanuni za watu wa kati hapo baadaye.
Hivyo makala UTARATIBU MPYA WA USAJILI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI WAJA
yaani makala yote UTARATIBU MPYA WA USAJILI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI WAJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UTARATIBU MPYA WA USAJILI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI WAJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/utaratibu-mpya-wa-usajili-wa-mawakala.html
0 Response to "UTARATIBU MPYA WA USAJILI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI WAJA"
Post a Comment