title : UEFA KUTOA TUZO TANO AGOSTI
kiungo : UEFA KUTOA TUZO TANO AGOSTI
UEFA KUTOA TUZO TANO AGOSTI
MwambawahabariShirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) limetangaza kuanza kutolewa kwa tuzo tano mpya za wachezaji bora wa mwaka kuanzia Agosti hii ambazo washindi wake watapatikana toka kura za makocha na wanahabari.
Tuzo hizo zitakabidhiwa huko Monaco nchini Ufaransa hapo Agosti 24 wakati wa droo ya makundi ya ligi ya mabingwa Ulaya.
Tuzo hizo 5 mpya ni kwa wachezaji waliofanya vyema kwenye mashindano ya klabu ya UEFA kwa msimu uliopita, kwa mwaka 2016/17,na zitatolewa sambamba na za mchezaji bora wa mwaka kwa wanaume na na wanawake.
Hivyo makala UEFA KUTOA TUZO TANO AGOSTI
yaani makala yote UEFA KUTOA TUZO TANO AGOSTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UEFA KUTOA TUZO TANO AGOSTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/uefa-kutoa-tuzo-tano-agosti.html
0 Response to "UEFA KUTOA TUZO TANO AGOSTI"
Post a Comment