title : TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA
kiungo : TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA
TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma akiwa ofisini kwake na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Nyanduga pamoja na ujumbe alioongozana nao. Ujumbe huo kutoka Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora ulifika Ofisini kwa Kaimu Jaji Mkuu kwa ajili ya kujitambulisha kwake, kumpongeza kwa kuteuliwa pamoja na kuzungumzia masuala ya Ushirikiano baina ya Tume hiyo na Mahakama ya Tanzania.
Hivyo makala TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA
yaani makala yote TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/tume-ya-haki-za-binadamu-yamtembelea.html
0 Response to "TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAMTEMBELEA KAIMU JAJI MKUU WA TANZANIA"
Post a Comment