title : TAIFA STARS YAANZA KUJIFUA NCHINI MISRI KUIKABILI LESOTHO JUNI 10 UWANJA WA TAIFA
kiungo : TAIFA STARS YAANZA KUJIFUA NCHINI MISRI KUIKABILI LESOTHO JUNI 10 UWANJA WA TAIFA
TAIFA STARS YAANZA KUJIFUA NCHINI MISRI KUIKABILI LESOTHO JUNI 10 UWANJA WA TAIFA
Wachezaji wa Taifa Stars wakipasha joto miili yao kabla ya kuanza mazoezi ya nguvu kwenye Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria leo asubuhi Juni 01, 2017. Taifa Stars inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon.
Makipa wa Taifa Stars kutoka kushoto, Said Mohammed, Aishi Manula na Benno Kakolanya wakivuta pumzi baada ya mazoezi ya timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Taifa Stars’ yaliyofanyika jana usiku kwenye Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria jana usiku Mei 31, 2017. Taifa Stars inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon.
Daktari wa Viungo wa Taifa Stars, Dk. Gilbert Kigadye akimfanyisha mazoezi ya kifundo cha mguu beki wa timu hiyo, Mohammed Hussein Zimbwe maarufu kama Tshabalala katika mazoezi ya timu ya Tanzania ya Mpira wa Miguu ‘Taifa Stars’ yaliyofanyika Uwanja wa Tolip Sports City jijini Alexandria jana usiku Mei 31, 2017.
Wachezaji wa Stars wakiwania mpira katika mazoezi ya nguvu yaliyofanyika leo. Taifa Stars inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon.
Wachezaji wa Stars kutoka kushoto, Mohammed Hussein, Simon Msuva, Said Mohammed, Ibrahim Ajib na Hassan Kessy wakionesha faraja yao mara baada mazoezi ya nguvu yaliyofanyika leo. Taifa Stars inajiandaa kushindana na Lesotho Juni 10, 2017 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala TAIFA STARS YAANZA KUJIFUA NCHINI MISRI KUIKABILI LESOTHO JUNI 10 UWANJA WA TAIFA
yaani makala yote TAIFA STARS YAANZA KUJIFUA NCHINI MISRI KUIKABILI LESOTHO JUNI 10 UWANJA WA TAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS YAANZA KUJIFUA NCHINI MISRI KUIKABILI LESOTHO JUNI 10 UWANJA WA TAIFA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/taifa-stars-yaanza-kujifua-nchini-misri.html
0 Response to "TAIFA STARS YAANZA KUJIFUA NCHINI MISRI KUIKABILI LESOTHO JUNI 10 UWANJA WA TAIFA"
Post a Comment