title : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO KUTUNZA TAARIFA NA MFUMO WA KUKUSANYIA MAPATO KIELEKTRONIKI
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO KUTUNZA TAARIFA NA MFUMO WA KUKUSANYIA MAPATO KIELEKTRONIKI
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO KUTUNZA TAARIFA NA MFUMO WA KUKUSANYIA MAPATO KIELEKTRONIKI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akionesha Ipad maalumu aliyopewa ili kumuwezesha kufuatilia ukusanyaji wa mapato ya kila siku. Kulia kwake ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wakati wa kutembelea kituo cha kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. Picha na Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akionesha Ipad maalumu aliyopewa kumuwezesha kufuatilia ukusanyaji wa mapato ya kila siku. kushoto kwake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wakati wa kutembelea kituo cha kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. Picha na Ikulu
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha Ipad maalumu itayomuwezesha kufuatilia ukusanyaji wa mapato ya kila siku. Kulia kwake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na viongozi wengine wakati wa kutembelea kituo cha kutunzia taarifa (Data Centre) kabla ya kuzindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. Picha na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine akizindua Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. Picha na Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na viongozi katika picha ya pamoja na wakuu wa makampuni ya mawasiliano mbalimbali nchini kwenye sherehe ya uzinduzi wa Mfumo wa Serikali wa Ukusanyaji Mapato kwa Njia ya kielektroniki kwenye sherehe zilizofanyika Kijitonyama jijini Dar es salaam leo June 1, 2017. Picha na Ikulu
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO KUTUNZA TAARIFA NA MFUMO WA KUKUSANYIA MAPATO KIELEKTRONIKI
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO KUTUNZA TAARIFA NA MFUMO WA KUKUSANYIA MAPATO KIELEKTRONIKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO KUTUNZA TAARIFA NA MFUMO WA KUKUSANYIA MAPATO KIELEKTRONIKI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-dkt-magufuli-azindua-kituo-kutunza.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO KUTUNZA TAARIFA NA MFUMO WA KUKUSANYIA MAPATO KIELEKTRONIKI"
Post a Comment