SWALA YA EID ZANZIBAR - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SWALA YA EID ZANZIBAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
SWALA YA EID ZANZIBARkiungo :
SWALA YA EID ZANZIBAR
SWALA YA EID ZANZIBAR
 |
Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga alipokuwa akitoa khutba baada ya Swala ya El Idd elfitri iliyoswaliwa katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan aliyohudhuriwa na Viongozi wa Kitaifa na Waislamu mbali mbali wa Mkoa wa Mjini Magharibi leo |
 |
Waislamu wanawake wakiwa katika Swala ya Eid el-Fitri iliyoongozwa na Sheikh Fadhil Soraga katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjni Unguja leo katika Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Viongozi wa Kitaifa na Waislamu mbali mbali walihudhuria |
 |
Baadhi ya waislamu wanaume waliohudhuria katika swala ya Eid el-Fitri wakimsikiliza Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga aklipokuwa akitoa khutba ya Swala ya El Idd elfitri iliyoswaliwa katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan |
 |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi mbali mbali baada ya Swala ya Eid el-Fitri iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherekekea kumalizika kwa Mfungo wa MweziMtukufu wa Ramadhan |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi mbali mbali baada ya Swala ya Eid el-Fitri iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherekekea kumalizika kwa Mfungo wa MweziMtukufu wa Ramadhan. Picha na Ikulu.
Hivyo makala SWALA YA EID ZANZIBAR
yaani makala yote SWALA YA EID ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SWALA YA EID ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/swala-ya-eid-zanzibar.html
0 Response to "SWALA YA EID ZANZIBAR"
Post a Comment