title : Sala ya Eid el Fitr ilivyosaliwa DMV, Maryland , Marekani
kiungo : Sala ya Eid el Fitr ilivyosaliwa DMV, Maryland , Marekani
Sala ya Eid el Fitr ilivyosaliwa DMV, Maryland , Marekani
Polisi akielekeza Magari sehemu ya maegesho siku ya Jumampili June 25, 2017 siku Waislaam Watanzania wa DMV walipojumuika pamoja na Waislam wenzao kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye musikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eid el Fitr iliyofanyika kwenye msikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.
Ukodak moment
Hivyo makala Sala ya Eid el Fitr ilivyosaliwa DMV, Maryland , Marekani
yaani makala yote Sala ya Eid el Fitr ilivyosaliwa DMV, Maryland , Marekani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sala ya Eid el Fitr ilivyosaliwa DMV, Maryland , Marekani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/sala-ya-eid-el-fitr-ilivyosaliwa-dmv.html
0 Response to "Sala ya Eid el Fitr ilivyosaliwa DMV, Maryland , Marekani"
Post a Comment