title : SALA YA EID EL FITR DMV LEO
kiungo : SALA YA EID EL FITR DMV LEO
SALA YA EID EL FITR DMV LEO
Polisi akielekeza Magari sehemu ya maegesho siku ya Jumampili June 25, 2017 siku Waislaam Watanzania wa DMV walipojumuika pamoja na Waislam wenzao kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye musikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.
Watanzania Waislam DMV wakijumuika pamoja na Waislam wenzao DMV kwenye sala ya Eiid el Fitri iliyofanyika kwenye muikiti wa Muslim Community Center uliopo mtaa wa New Hampshire Slver Spring, Maryland.

Sala ya Eid el Fitr ikiendelea.
Hivyo makala SALA YA EID EL FITR DMV LEO
yaani makala yote SALA YA EID EL FITR DMV LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SALA YA EID EL FITR DMV LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/sala-ya-eid-el-fitr-dmv-leo.html
0 Response to "SALA YA EID EL FITR DMV LEO"
Post a Comment