Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar.

Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar.
kiungo : Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar.

soma pia


Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar.


Rais mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi akitoa Salamu za Eid el Fitr kwa waislam baada ya Swala ya Eid el Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja  jijini Dar es Salaam, mapema leo

Pichani kulia ni Rais mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi sambamba na waumini wengine wakiswali swala ya sikukuu ya Eid El Fitr iliyofanyika mapema leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,jijini Dar es Salaam.

Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum akitoa mawaidha yake wakati wa Swala ya Eid El Fitr katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Dkt Hussein Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mhe.Salum Hapi mara baada ya kuwasili katika Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika mapema leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,Pichani kati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum .
Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,Mhe.Salum Hapi mara baada ya kuwasili katika Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika mapema leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha CUF,Prof Haroun Lipumba na waumini wengine wakiwasili katika viwanja vya Mnazi mmoja kwa ajili ya kushiriki swala ya Eid El Fitr jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akiongozwa na Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Al Had Mussa Salum pamoja na Mkuu wa Wilaya ya  Kinondoni,Mhe.Salum Hapi kushiriki kwenye swala ya sikukuu ya
Eid El Fitr iliyofanyika mapema leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar.

yaani makala yote Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-mstaafu-alhaji-ali-hassan-mwinyi_26.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aongoza Swala ya Eid El Fitr,leo jijini Dar."

Post a Comment