title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia ni balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa palamagamba kabudi akipeana mikono na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo na rais Dkt Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo yake na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kulia ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe Ian wakiwa na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba kabudi baada ya mazungumzo na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. wakiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi na Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles
Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles akiongea na wanahabari baada ya mazungumzo baina ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Barrick Gold Corporation ya Canada Profesa John L. Thornton baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2017. Pamoja nao ni Balozi wa Canada nchini Mhe. Ian Myles na Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi
PICHA ZOTE NA IKULU
……………………………………………………………….
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-dkt-magufuli-akutana-na-mwenyekiti.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA BODI YA KAMPUNI YA BARRICK YA CANADA"
Post a Comment