title : RAIS DK,SHEIN ATOA HOTUBA YA IDI EL FITRI ZANZIBAR.
kiungo : RAIS DK,SHEIN ATOA HOTUBA YA IDI EL FITRI ZANZIBAR.
RAIS DK,SHEIN ATOA HOTUBA YA IDI EL FITRI ZANZIBAR.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu njema baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pampja na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo kumtakia Rais Sikukuu njema baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,wakiitikia Dua Iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibae Sheikh Saleh Omar Kabi,(wa pili kushoto),[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pampja na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi wakiaagana na Viongozi mbali mbali wa Dini na Mashekhe wa Dini ya Kiislamu waliofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya kutakiana Kheri katika Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mjukuu wake Ali Abdalla Mitawi katika Kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri iliyoanza leo baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 26/06/2017.
Hivyo makala RAIS DK,SHEIN ATOA HOTUBA YA IDI EL FITRI ZANZIBAR.
yaani makala yote RAIS DK,SHEIN ATOA HOTUBA YA IDI EL FITRI ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DK,SHEIN ATOA HOTUBA YA IDI EL FITRI ZANZIBAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/rais-dkshein-atoa-hotuba-ya-idi-el.html
0 Response to "RAIS DK,SHEIN ATOA HOTUBA YA IDI EL FITRI ZANZIBAR."
Post a Comment