NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU

NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU
kiungo : NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU

soma pia


NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU

Mwambawahabari

 Wachezaji wa timu ya Nakuru All Stars ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, jioni ya leo Juni 4, 2017  kujiandaa na michuano ya ‘SportPesa Super Cup’ inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo mechi ya kwanza itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa ni kati ya Gor Mahia Vs Jang’ombe Boys Fc.
 Wachezaji wa nakuru All Stars wakishuka katika gari lao walipowasili uwanja wa Karume kuanza mazoezi, leo jioni.
 Mazoezi yakiendelea.
 Daktari wa timu akimchua mchezaji misuri kabla ya kuanza mazoezi…
 Dua na maelekezo kabla ya kuanza mazoezi…
 Mazoezi ya viungo
 Wachezaji wakiapasha misuri moto
 Makipa wa timu hiyo wakipasha misuri moto.
 
 


Hivyo makala NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU

yaani makala yote NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/nakuru-all-stars-wajifua-kumkabiri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAKURU ALL STARS WAJIFUA KUMKABIRI MNYAMA SIMBA KESHO JUMANNE SPORTPESA SUPER CUP UWANJA WA UHURU"

Post a Comment