Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo.

Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo.
kiungo : Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo.

soma pia


Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo.

Nyumbani kwa Marehemu Mzee Philemoni Ndesamburo aliyefariki dunia jana katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi.
Baadhi ya waombolezaji wakiwemo ndugu wakijiandaa kwenda kutizama mwili wa Mzee Ndesamburo katika HospItali ya Rufaa ya KCMC.
Baadhi ya Waombolezaji wakiwemo Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakia nyumbani kwa Mzee Ndesamburo.
Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini ,Godbless Lema pamoja na mkewe Neema Lema wakiwasili nyumbani  kwa marehemu Mzee Ndesamburo.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini ,Godbless Lema akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Rombo ,Joseph Selasini mara baada ya kukutana nyumbani kwa marehemu Mzee Ndesamburo .
Mtoto wa Marehemu Ndesamburo ,Ndohorio Ndesamburo akiwaeleza jambo waombolezaji waliofika nyumbani kutoa pole kwa familia.
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini,Aman Golugwa akitia saini katika kitabu cha waombolezaji nyumbani kwa marehemu Ndesamburo.
Baadhi ya viongozi wa Chadema wakiwa katika kikao kifupi nyumbani kwa mareheu Ndesamburo.
Familia ya marehemu Ndesamburo wakiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa ajili ya kutizama mwili wa mpendwa wao.
Mkurugenzi wa kampuni ya World Frontier,John Hudson akimfariji ,mtoto wa marehemu Ndesamburo,Lucy Owenya nyumbani kwao eneo la Mbokomu mjini Moshi.
Baadhi ya waombolezaji wakiwafariji wafiwa.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.


Hivyo makala Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo.

yaani makala yote Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/msiba-wa-mbunge-mstaafu-wa-jimbo-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msiba wa Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini Philemon Ndesamburo."

Post a Comment