title : MREMBO MASOGANGE AFUNGUKA HAYA KUHUSU UKIMYA WAKE
kiungo : MREMBO MASOGANGE AFUNGUKA HAYA KUHUSU UKIMYA WAKE
MREMBO MASOGANGE AFUNGUKA HAYA KUHUSU UKIMYA WAKE
VIDEO Queen mwenye figa bomba Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa ukimya wake wa hivi karibuni na kutojichanganya kwa watu mbalimbali ni kwa sababu ya mpenzi ambaye amempata kwa sasa kwani anambana sana.
Akizungumza Masogange alisema hivi sasa haendi sehemu yoyote ya starehe wala kujichanganya na watu wengi kwa sababu mpenzi wake huyo amempa masharti hayo na yeye ni lazima ayafuate kwani anaheshimu penzi lake.
“Unajua kipindi cha nyuma kilikuwa cha utoto zaidi kwa sasa nimejitambua vizuri zaidi na ukiwa na mtu ambaye anakusaidia akawa hataki vitu fulani ni lazima kuheshimu ndiyo maana sionekani ovyo kwa sasa,” alisema Masogange.
Hivyo makala MREMBO MASOGANGE AFUNGUKA HAYA KUHUSU UKIMYA WAKE
yaani makala yote MREMBO MASOGANGE AFUNGUKA HAYA KUHUSU UKIMYA WAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MREMBO MASOGANGE AFUNGUKA HAYA KUHUSU UKIMYA WAKE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mrembo-masogange-afunguka-haya-kuhusu.html
0 Response to "MREMBO MASOGANGE AFUNGUKA HAYA KUHUSU UKIMYA WAKE"
Post a Comment