Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba.
kiungo : Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba.

soma pia


Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mwanajuma Majid akimuapisha Katibu Tawala Mpya wa Wilaya ya Mkoani Pemba, Bi.Miza Hassan Faki, iliofanyika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa kusini Pemba.
Katibu Tawala Mpya wa Wilaya ya Mkoani Bi. Miza Hassan Faki, akisaini hati yake ya kiapo baada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Mwanajuma Majid hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.
KATIBUTawala Mkoa wa kusini Pemba Yussuf Mohamed Ali, akizungumza kwenye hafla ya kuapishwa kwa Katibu tawala mpya wa wilaya ya Mkoani Miza Hassan Faki, hafla iliofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba
BAADHI ya masheha, wakuu wa taasisi za serikali Mkoa wa kusini Pemba, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Katibu tawala mpya wa wilaya ya Mkoani  Miza Hassan Faki, iliofanyika ofisi ya Mkuu wa mkoa wa kusini Pemba.
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mwanajuma Majid Abdalla, Katibu tawala wake Yussuf Mohamed Ali, Wakuu wa Wilaya za Chakechake na  Makoani na Katibu Tawala mpya wa Wilaya ya Mkoani, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza hafla hiyo.


Hivyo makala Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba.

yaani makala yote Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/mkuu-wa-mkoa-wa-kusini-pemba-amuapisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Amuapisha Afisa Tawala wa Wilaya ya Mkoani Pemba."

Post a Comment